Hii movie ni mashine

Izo movie ni kama sequel zipo jumla tatu. Inaanza:

Olympus has fallen
London has fallen
Angel has fallen

Zote yupo uyo Butler na Morgan.

Hafu kuna moja kama inafuatana nazo inaitwa White House Down.

izo movie kali sana.
 
Izo movie ni kama sequel zipo jumla tatu. Inaanza:

Olympus has fallen
London has fallen
Angel has fallen

Zote yupo uyo Butler na Morgan.

Hafu kuna moja kama inafuatana nazo inaitwa White House Down.

izo movie kali sana.
Yeah mkuu ila london has fallen ni mkwaju
 
Elezea bas inahusu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wakubwa wa nchi kubwa kibwa walienda London kulikua na msiba wa PM wa British, sasa kuna group la terrorists wakawa wameplan kuwamaliza. Mmoja wao alikua rais wa USA. Sasa mlinzi mkuu secret service ndio steringi wetu akawa anamprotect presidaa uko London.

Umo kuna mkono, bunduki, magari, chopa. Mabomu, yaani balaa.
 
Ila london ni mwisho wa safari trust me, operation haiingii kwa london
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…