Jamaa yangu mwenye simu ya airtyel 078... simu yake tarehe 16/8/2016 iliingiliwa na wahalifu wakitumia particulars za usajili walizozipata kwa njia ya kihalifu.
Wakaitumia simu hiyo kwa uhalifu kwa kutaka kuibiwa watu. Haijulikana walifanikiwa kwa kiasi gani. Lakini siku mbili baadaye watu wa customer care walipigiwa simu, pamoja na kushindwa kuzuia mhalifu kuendelea kutumia line hiyo kwa madai kwamba imetumika namba isiyokuwa ya mwenyewe, wakashauri key contacts wajulishwe uwepo wa tukio hilo na wakaelekeza suluhu ya kudumu jamaa aende airtel shop na kitambulisho kwa ajili ya kurekebisha tatizo.
Mwezi mmoja baadaye, jamaa akaenda airtel shop kama alivyoelekezwa na wakajaribu kumhudumia. Lakini tangu alipohudumiwa jamaa hajarecover mawasiliano ya simu yake licha ya kuwasiliana zaidi ya mara nne na watu wa customercare wakiahidi kurekebisha tatizo.
Wakati line inaswapiwa tarehe 16/9/2017, mhalifu alikuwa akiendelea kupokea na kujibu simu wa conbtacts wake pamoja na kufanya some transactions.
Issue ni hii, kama mitandao inazembea kuhandle suala sensitive kwa usalama na mali kiasi hiki, je wadau tuko salama kiasi gani?
Wakatabahu