enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,065
- 3,585
Don't https://jamii.app/JFUserGuide with me " usinizingue"
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

1,scratch my back i scratch yours maana yake nisaidie nikusadie au nilinde nikulindeHabarini wadau..Najua tuko kwenye majonzi makubwa kama taifa,,But katika kuskiliza nyimbo,kuangalia movies za Marekani hasa zenye Black Americans Characters kama Ice cube,Kevin Hart,Wesley Snipes,Mike Epps,Tiffany Had dish,Queen Latifah,Octavia Spencer,Will Smith nk.
Kuna baadhi ya misemo (Phrases)waga wanaiongea sijuagi inamaanishaga nini?!
Mfano wa Phrase izo no "Check the sound,Scratch my back I will scratch yours,As a matter of fact,Don't Fcuk with me,Kick your ass,goddamn"
Kwa anaejua maana zake please anijuze🙏🙏..Wasalaam.
@NgarenaroBoy
You're perfectly correct and exactly right1,scratch my back i scratch yours maana yake nisaidie nikusadie au nilinde nikulinde
2.As a matter of fact maana yake ni ukweli uliopo ni kwamba...mfano mtu anaweza kusema ukweli ni kwamba sikupendi eg as a matter of fact i dont even like you
3.Dont fucvk with me inategemeana na mandhari ila inamaanisha ..usinichezee, usiniletee utani, usinizingue
4.kick your ass pia inategemeana na mandhari mfano inaweza kutumika kumwambia mtu utampiga au kumdhuru lakini pia katika michezo labda inatumika kama neno la kiswahili nitakushinda mfano. i will kick your ass in this video game ...kwamba nitakushinda kwenye hili game la video
Pia inawea kutumika kama neno la kumfukuza mtu mfano anaweza kusema'' i will kick your ass out right know'' maana nitakufukuza sasa hivi
5. goddamn pia inatumika kulingana na mandhari maana ya kwanza ni kama kusema ''kudadeki'' au ''dah'' kwa kusikitika mfano goddamn the bus is already left maana yake kwa kiswahili ni kwamba kudadeki/ dah gari limeshaondoka
Pia inaweza kutumika kuonesha uzuri au ubaya wa kitu au mtu mfano ''thats the fine goddamn car you got there '' maana yake unagari nzuri kweli kweli , Pia anaweza kusema
Umetisha sana..1,scratch my back i scratch yours maana yake nisaidie nikusadie au nilinde nikulinde

Shukrani sana bro,,nimekupata vilivyo1,scratch my back i scratch yours maana yake nisaidie nikusadie au nilinde nikulinde
2.As a matter of fact maana yake ni ukweli uliopo ni kwamba...mfano mtu anaweza kusema ukweli ni kwamba sikupendi eg as a matter of fact i dont even like you
3.Dont fucvk with me inategemeana na mandhari ila inamaanisha ..usinichezee, usiniletee utani, usinizingue
4.kick your ass pia inategemeana na mandhari mfano inaweza kutumika kumwambia mtu utampiga au kumdhuru lakini pia katika michezo labda inatumika kama neno la kiswahili nitakushinda mfano. i will kick your ass in this video game ...kwamba nitakushinda kwenye hili game la video
Pia inawea kutumika kama neno la kumfukuza mtu mfano anaweza kusema'' i will kick your ass out right now'' maana nitakufukuza sasa hivi
5. goddamn pia inatumika kulingana na mandhari maana ya kwanza ni kama kusema ''kudadeki'' au ''dah'' kwa kusikitika mfano goddamn the bus is already left maana yake kwa kiswahili ni kwamba kudadeki/ dah gari limeshaondoka
Pia inaweza kutumika kuonesha uzuri au ubaya wa kitu au mtu mfano ''thats the fine goddamn car you got there '' maana yake unagari nzuri kweli kweli , Pia anaweza kusema
Appreciate bro"scratch my back I'll scratch yours" manake nisaidie kwenye shida nami ntakusaidia pia.
As a matter of fact "yani kusema kweli"/ kiukweli"
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
inatumika kuelezea kitu kwa kiswahili kusema bila kusahau/ au kuonesha hali ya kushindwa kufanya tukio fulani baada ya tukio lingine kutokea mwanzo mfano mtu..she would never walk again let alone dancing '' maana yake kwamba hawezi kutembea tena bila kusahau kucheza..nisaidieni maana ya LET ALONE Wakuu
shukrani mkuu.inatumika kuelezea kitu kwa kiswahili kusema bila kusahau/ au kuonesha hali ya kushindwa kufanya tukio fulani baada ya tukio lingine kutokea mwanzo mfano mtu..she would never walk again let alone dancing '' maana yake kwamba hawezi kutembea tena bila kusahau kucheza..
Oooh Thanks a lot my sister,, I got itMdogo wangu pole, sijui kwanini nimeona huruma. Siku nyingine tumia google, andika neno uliloliona kwenye movie kama lilivyo itakuletea maana ambayo itakuwa rahisi kuielewa, ukiona unatatizika zaidi ongeza "In swahili" kwenye neno au sentensi unayotaka kuigoogle. hata hivyo DAN LOKOMOTIVE amefafanua vyema.
Kaza, you will get there. Mi namfahamu mtu aliyejifunzia kizungu kwa kuangalia movies.
Wanamaanisha kwamba mapapai hayana Corona
Ni kama kusema "achilia mbali"nisaidieni maana ya LET ALONE Wakuu
Wanamaanisha angalia hikiIngawa mimi sio mtaalamu sana wa kiingereza hapo sio check the sound bali ni check this out akiwa anamanisha listen.
Goddaaaaam, naweza sema kwa kiswahili ni sawa na mtu akwambie "Kudaaaadekiii"Bro hiyo scratch my back I will scratch yours huoni imejificha,zote2 zinanitatiza mkuu,,na Hiyo goddaaaamn
Inategemea lakini waweza sema ni "achilia mbali"nisaidieni maana ya LET ALONE Wakuu