Hii misemo ya Kimarekani ina maana gani?

Habarini wadau..Najua tuko kwenye majonzi makubwa kama taifa,,But katika kuskiliza nyimbo,kuangalia movies za Marekani hasa zenye Black Americans Characters kama Ice cube,Kevin Hart,Wesley Snipes,Mike Epps,Tiffany Had dish,Queen Latifah,Octavia Spencer,Will Smith nk.

Kuna baadhi ya misemo (Phrases)waga wanaiongea sijuagi inamaanishaga nini?!

Mfano wa Phrase izo no "Check the sound,Scratch my back I will scratch yours,As a matter of fact,Don't Fcuk with me,Kick your ass,goddamn"

Kwa anaejua maana zake please anijuze🙏🙏..Wasalaam.

@NgarenaroBoy
1,scratch my back i scratch yours maana yake nisaidie nikusadie au nilinde nikulinde

2.As a matter of fact maana yake ni ukweli uliopo ni kwamba...mfano mtu anaweza kusema ukweli ni kwamba sikupendi eg as a matter of fact i dont even like you

3.Dont fucvk with me inategemeana na mandhari ila inamaanisha ..usinichezee, usiniletee utani, usinizingue

4.kick your ass pia inategemeana na mandhari mfano inaweza kutumika kumwambia mtu utampiga au kumdhuru lakini pia katika michezo labda inatumika kama neno la kiswahili nitakushinda mfano. i will kick your ass in this video game ...kwamba nitakushinda kwenye hili game la video
Pia inawea kutumika kama neno la kumfukuza mtu mfano anaweza kusema'' i will kick your ass out right now'' maana nitakufukuza sasa hivi

5. goddamn pia inatumika kulingana na mandhari maana ya kwanza ni kama kusema ''kudadeki'' au ''dah'' kwa kusikitika mfano goddamn the bus is already left maana yake kwa kiswahili ni kwamba kudadeki/ dah gari limeshaondoka
Pia inaweza kutumika kuonesha uzuri au ubaya wa kitu au mtu mfano ''thats the fine goddamn car you got there '' maana yake unagari nzuri kweli kweli , Pia anaweza kusema
 
Pia inawea kutumika kama neno la kumfukuza mtu mfano anaweza kusema'' i will kick your ass out right know'' maana nitakufukuza sasa hivi

You're perfectly correct and exactly right

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Umetisha sana..
 
1,scratch my back i scratch yours maana yake nisaidie nikusadie au nilinde nikulinde

2.As a matter of fact maana yake ni ukweli uliopo ni kwamba...mfano mtu anaweza kusema ukweli ni kwamba sikupendi eg as a matter of fact i dont even like you

3.Dont fucvk with me inategemeana na mandhari ila inamaanisha ..usinichezee, usiniletee utani, usinizingue

4.kick your ass pia inategemeana na mandhari mfano inaweza kutumika kumwambia mtu utampiga au kumdhuru lakini pia katika michezo labda inatumika kama neno la kiswahili nitakushinda mfano. i will kick your ass in this video game ...kwamba nitakushinda kwenye hili game la video
Pia inawea kutumika kama neno la kumfukuza mtu mfano anaweza kusema'' i will kick your ass out right now'' maana nitakufukuza sasa hivi

5. goddamn pia inatumika kulingana na mandhari maana ya kwanza ni kama kusema ''kudadeki'' au ''dah'' kwa kusikitika mfano goddamn the bus is already left maana yake kwa kiswahili ni kwamba kudadeki/ dah gari limeshaondoka
Pia inaweza kutumika kuonesha uzuri au ubaya wa kitu au mtu mfano ''thats the fine goddamn car you got there '' maana yake unagari nzuri kweli kweli , Pia anaweza kusema
Shukrani sana bro,,nimekupata vilivyo
 
Mdogo wangu pole, sijui kwanini nimeona huruma. Siku nyingine tumia google, andika neno uliloliona kwenye movie kama lilivyo itakuletea maana ambayo itakuwa rahisi kuielewa, ukiona unatatizika zaidi ongeza "In swahili" kwenye neno au sentensi unayotaka kuigoogle. hata hivyo DAN LOKOMOTIVE amefafanua vyema.

Kaza, you will get there. Mi namfahamu mtu aliyejifunzia kizungu kwa kuangalia movies.
 
inatumika kuelezea kitu kwa kiswahili kusema bila kusahau/ au kuonesha hali ya kushindwa kufanya tukio fulani baada ya tukio lingine kutokea mwanzo mfano mtu..she would never walk again let alone dancing '' maana yake kwamba hawezi kutembea tena bila kusahau kucheza..
shukrani mkuu.
 
Mdogo wangu pole, sijui kwanini nimeona huruma. Siku nyingine tumia google, andika neno uliloliona kwenye movie kama lilivyo itakuletea maana ambayo itakuwa rahisi kuielewa, ukiona unatatizika zaidi ongeza "In swahili" kwenye neno au sentensi unayotaka kuigoogle. hata hivyo DAN LOKOMOTIVE amefafanua vyema.

Kaza, you will get there. Mi namfahamu mtu aliyejifunzia kizungu kwa kuangalia movies.
Oooh Thanks a lot my sister,, I got it
 
1." Check this out " ina maanisha "sikiliza nikupe mchapo" au "Ona hii"

2. "Scratch my back i will scratch yours" ina maanisha nisaidie na mimi nikusaidie au kwa lugha nyepesi ya sasa tunasema jiongeze.

3. "As a matter of fact" inatumika kama sisi pale tunaposema vitu kama "tena ngoja nimpigie kabisa", "tena umenikumbusha ngoja nitaongea nae" au "Kusema ukweli ni kwamba......." . Yaani hutumika katika sehemu ambapo unataka kuweka msisitizo wa jambo. Hapo nimekuelekeza mazingira ambapo neno linatumika but ukitaka tafasiri yake tunasema "kama jambo la ukweli" sijui kama nimekuweka sawa mkuu.

4. "Don't https://jamii.app/JFUserGuide with me" ni kama kusema usinizingue, au usiniletee za kuleta, au kusema Usinijaribu nitakuzingua....

5. "kick your Ass" ina maanisha kama nitakubutua, au ntakudunda, ntakupasua, ntakupa kichapo, ntakunyuka....

Ass ni neno formal kumaanisha punda, ila watu weusi wakaligeuza na kumaanisha matako au makalio. Miaka ilivyokwenda wakawa wanalitumia zaidi kumaanisha tako (informal). So usishtuke tena kuona linatumika kwa mwanamke wakisema 'you have some nice ass au fat ass"

Mwingine utasikia anasema, bring your ass over here. Au utasikia wanasema you can kiss my ass.....

So linatumika kihivyo.....

6. Goddam ina maanisha MUNGU laani au komesha. Damn ni neno linalomaanisha kuzuia au kukomesha au kukemea..... Kibongobongo ni kama kusema kudadadeki...
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom