Hii misemo ya Kimarekani ina maana gani?

Daah Umenikumbusha mbali sana,
Kwanza bado ipo kweli?
Haha haiwezi kukosekana app/play store. Kitambo sana 2go, ile room yenye wahindi wao kutuma ''nunu' zao ni jambo la kawaida mno kwao.

Mwaka 2018 niliicheck. Wala haikuwa na vibe kama ile ya zamani nikaifuta.
 
Hahahahahahahahahahaha nyie watu nyieeeee inabidi tutambuane kwa kweli,
Haiwezi kua na vibe kama kipindi chetu, tulijua kuitikisa atiiii yaani mtu usipoingia 2go unaumwaaaa, hahahaha
 
Haha haiwezi kukosekana app/play store. Kitambo sana 2go, ile room yenye wahindi wao kutuma ''nunu' zao ni jambo la kawaida mno kwao.

Mwaka 2018 niliicheck. Wala haikuwa na vibe kama ile ya zamani nikaifuta.

Sorry hivi nunu ni nyeti? Kama ndio ni neno la zamani au limeibuka baada ya Manunu wa wema? Kama ni la zamani why wema amwite mbwa wake manunu? Au ni Mlamba Nyeti?
 
Sio check the sound ni check this out..hapa wanamaanisha Angalia navyofanya kweli.

Scratch my back and i will scratch yours=Mambo ni kupeana,nipe nikupe.
Thanks man,,Kwahyo iyo Scratch my back ni sawa na kusema "Nisaidie then namimi ntakusaidia"?
 
Back
Top Bottom