mlekulechoma
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 1,366
- 1,059
Hebu fikiria....umechukua mkopo....umekaribia kumaliza deni.....mkopeshaji anakutumia ujumbe huu.... Ndugu .........Kutoka Bayport, Unaweza kupata mkopo wa ziada wa Tsh 3,250,670.35 kwa makato ya Tsh448,893.40 kwa muda wa miezi 60. Soma vigezo na mashariti kwenye http://bit.ly/1WqDb7C na jibu 1 kukubali..........makato ya Tsh 448,893 × miezi 60=26,933,580/=