M-mbabe JF-Expert Member Joined Oct 29, 2009 Posts 13,201 Reaction score 23,039 Mar 9, 2018 #1 Leo nimepokea SMS kwenye simu yangu kutoka kwenye mtandao unaojiita "MojaSpesho" (soma ujumbe hapa chini). Hivi hii mitandao ya simu inatufanya Watanzania wote ni mazuzu au? TCRA - this is too much bana! Attachments MojaSpesho.png 15 KB · Views: 204
Leo nimepokea SMS kwenye simu yangu kutoka kwenye mtandao unaojiita "MojaSpesho" (soma ujumbe hapa chini). Hivi hii mitandao ya simu inatufanya Watanzania wote ni mazuzu au? TCRA - this is too much bana!
ankai JF-Expert Member Joined Nov 25, 2017 Posts 3,282 Reaction score 4,260 Mar 9, 2018 #2 Mkuu wanatafuta grisi hawa
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Mar 9, 2018 #3 Wamegundua Watanzania tunapenda kubahatisha zaidi kuliko kufanya kazi...
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Mar 9, 2018 #4 ankai said: Mkuu wanatafuta grisi hawa Click to expand... Hahahahaaaaa... eti wanatafuta grisi!...
Bintiwangara JF-Expert Member Joined Jun 30, 2013 Posts 551 Reaction score 287 Mar 9, 2018 #5 Vyuma vimekaza, biashara zingine ni ngumu kuziendesha , lakini bahati nasimu ni Raisi mno. ukiwa na laptop tu. umemaliza kazi.
Vyuma vimekaza, biashara zingine ni ngumu kuziendesha , lakini bahati nasimu ni Raisi mno. ukiwa na laptop tu. umemaliza kazi.
King klax JF-Expert Member Joined Jul 10, 2015 Posts 4,795 Reaction score 3,327 Mar 9, 2018 #6 Mpaka pesa zieshe zote
S sliding Member Joined Mar 3, 2017 Posts 82 Reaction score 57 Mar 9, 2018 #7 Mimi inanishangaza hii michezo ya kubahatisha .Na mikoa inayoshinda ni ile ile.Hutasikia Tabora,Kigoma,Singida,Mwanza wala Kagera japo na wao wanacheza hizo Biko na Tatu mzuka.
Mimi inanishangaza hii michezo ya kubahatisha .Na mikoa inayoshinda ni ile ile.Hutasikia Tabora,Kigoma,Singida,Mwanza wala Kagera japo na wao wanacheza hizo Biko na Tatu mzuka.
Stevery2 JF-Expert Member Joined Mar 3, 2012 Posts 396 Reaction score 47 Mar 10, 2018 #8 Haaaaahaaaa bahati ya naibu Abdul
E enock hiza Member Joined Mar 1, 2018 Posts 13 Reaction score 7 Mar 10, 2018 #9 Zingekuwa za mange kimambi TCRA wangekuwa wameshaziona
palangana JF-Expert Member Joined Jan 14, 2017 Posts 506 Reaction score 450 Mar 10, 2018 #10 utasikia "chadema hao"[emoji23][emoji23][emoji23]
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,646 Reaction score 19,042 Mar 10, 2018 #11 Ndio viwanda hivyo....
Nas Mapesa JF-Expert Member Joined Jul 31, 2014 Posts 5,286 Reaction score 5,423 Mar 10, 2018 #12 Kwa kweli zimezidi