Hii michezo ya "bingo" mbona sasa too much?

Hii michezo ya "bingo" mbona sasa too much?

M-mbabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
13,201
Reaction score
23,030
Leo nimepokea SMS kwenye simu yangu kutoka kwenye mtandao unaojiita "MojaSpesho" (soma ujumbe hapa chini).

Hivi hii mitandao ya simu inatufanya Watanzania wote ni mazuzu au?

TCRA - this is too much bana!
 

Attachments

  • MojaSpesho.png
    MojaSpesho.png
    15 KB · Views: 195
Vyuma vimekaza, biashara zingine ni ngumu kuziendesha , lakini bahati nasimu ni Raisi mno. ukiwa na laptop tu. umemaliza kazi.
 
Mimi inanishangaza hii michezo ya kubahatisha .Na mikoa inayoshinda ni ile ile.Hutasikia Tabora,Kigoma,Singida,Mwanza wala Kagera japo na wao wanacheza hizo Biko na Tatu mzuka.
 
Back
Top Bottom