Hii Michezo Mingine Hii. Khaaaa

Bora imeingia kwenye tundu la zamani inakuwa haina madhara sana lingekuwa tundu jipya hapo hospital ingemuhusu vinginevyo anaambiwa pole,maisha yanaendelea
 
Pembe kama lote vile lazima litoke na arufu ya nnyaa
 
Kajigusisha tu wala haijaingia sana!!!

Wee naweeee jmn. Khaaaa.

Eti kagusisha tu haijaingia thana. Ujue nimejenga lugha ya picha hapa umenifanya nimefika mbali ujue.

Wee haya tu.
 
Duh ng'ombe anashabaha sana huyo ila inawezekana pia jamaa kajitegesha hii dunia ina mambo ya ajabu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…