Hii michezo imeanza zamani kumbe

Chama kimoja kilikuwa hakina mpinzani, Rais ushindi wa kishindo kila miaka mitano. Kidogo ligi ilikuwa kwa wabunge.
 
Babu yangu ndio alikiwa shoga yake sema tu kafariki nikiwa sina mawazo ya kisiasa! Ila nitamuuliza aisee..!πŸ˜…
Muulize utajua kwa Nini wasukuma tinachekwa japo vijiji vyetu havina hali mbaya kama ya wanaotucheka pamoja na unyama tukio fanyiwa kwa kivuli cha uzalendo
 
Ilikuwa matumizi mabaya ya muda na hela, Kura ya mtu na kivuli ya nini sasa? tuchague kivuli
 
Duuh,umenikumbusha mbali sana!Kwa wabunge chagua nyumba au jembe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…