Jamaa yuko sawa....huwa nachukia sana kukuta jamaa liko na mchepuko halafu mke wake anapondwa kinoma huku lenyewe linakenuakenua tu meno
Hahahaaa mwambie jamaa aje hapa samaki samaki, nina neno nae. Michepuko na wajue kuwa siyo kwamba tunachepuka sababu hatuzipendi njia kuu, la hasha, bali tunatafuta sababu za kubaki njia kuu.
Trust me, jamaa atachukua muda sana kuchepuka.