Jamani kuna mada inayohusu mahusiano inaendelea Channel 10 na hoja kubwa ni tendo la ndoa hasa wakizungumzia wajibu wa kila mwanandoa katika hilo tendo.
Kwa mfano, wanajagili ni kwanini eti mtu akitoka nje ya ndoa anajituma zaidi n.k Alafu anakaribisha simu eti watu waelezee uzoefu wao.
Swali langu haya si mambo ya kitchen party na unyago?
Mmmmh!
Hii inakuwaje, hivi vitu vya namna hiyo vinaweza kujadiliwa hadharani, tena kwenye tv wakiangalia mama mkwe, baba na watoto?
Kuna kitu hakipo sawa hapa.
Mmmmh!
Hii inakuwaje, hivi vitu vya namna hiyo vinaweza kujadiliwa hadharani, tena kwenye tv wakiangalia mama mkwe, baba na watoto?
Kuna kitu hakipo sawa hapa.