Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 797
- 1,264
Hiyo unapigwa bro,
bei nzuri hiyo kwa PC yenye RAM GB 8, HDD 1 TB ichukue utaenjoy sana in long run
Mkuu asante kwa ushauri maana daah 1M parefu sana kama utauziwa kitu ambacho hakistahili kwa hio bei.
Kama ingekua i5 sawa kwa i3 iko juu kidogo. Hapo kwa 1m au laki tisa its okey
Sawa ni nzuri sana hiyo sema tu ni core i3 hdd kubwa sana
Ya kwangu ni core i7 hdd 500gb ram 4gb dukani unapata kwa 1.9milioni
Mpe 950k lakini ata kwa 1M sio mbaya.
Mimi pia sina utamaduni wa kukaa na vifaa vya electronics muda mrefu lakini kwa hii asus laptop ninayo tangu 2011 lakini mpaka leo bado naipenda, cover yakeMie ninayo Asus nilinua 2013 lakin mpk sasa ni mpya na iko kwenye ubora uleule ka nilinunua jana. Mkuu kanena point
Chief you nailed it out, mimi nimenunua asus ya i5 miaka 3 iliyopita ka 1m ambayo iko classic leo miaka 3 baadae ununue i3 kwa 1m hapana bana. Nashauri utafute brand ingine banaaaamkuu nimeicheki hapa online
processor ni i3 5010u
gpu ni Amd radeon m330
hio gpu ni dhaifu sana inapitwa na gpu za ndani za 6th generation processor za intel, na hio cpu pia ni ya kawaida.
achana na ram na hdd hizo laptop nyingi zinabadilishika .
ushauri wangu kwa hio budget unapata laptop zenye i5 6200u ambayo itakuwa nzuri kwenye graphics na cpu power compare na hio
mkuu nimeicheki hapa online
processor ni i3 5010u
gpu ni Amd radeon m330
hio gpu ni dhaifu sana inapitwa na gpu za ndani za 6th generation processor za intel, na hio cpu pia ni ya kawaida.
achana na ram na hdd hizo laptop nyingi zinabadilishika .
ushauri wangu kwa hio budget unapata laptop zenye i5 6200u ambayo itakuwa nzuri kwenye graphics na cpu power compare na hio
inategemea ni Amd ipi ila mara nyingi Nvidia kwa laptop zinakuwa nzuri. mfano Amd R9 M390x ni very powerfull laptop gpuAmd ndogo sana hasa kwa latest games and app
natafuta NVDA pro
Mkuu hivi kwa bajeti ya 500k hadi 600k naweza pata PC gani nzuri kwa kuzingatia hizo CPU,GPU,GRAPHIC CARD,64 bits,RAM na vyote vitakavo lingana na hiyo bajeti yangu mkuu. Kwa matumizi mbalimbali kama ku surf net,kucheck movie,kusomea material kufanyia kazi zangu binafsi , i support apps kama adobe cS6 na nyingine latest na gaming.ahsanteh mkuuinategemea ni Amd ipi ila mara nyingi Nvidia kwa laptop zinakuwa nzuri. mfano Amd R9 M390x ni very powerfull laptop gpu
kwa mpya hupati ila used unapataMkuu hivi kwa bajeti ya 500k hadi 600k naweza pata PC gani nzuri kwa kuzingatia hizo CPU,GPU,GRAPHIC CARD,64 bits,RAM na vyote vitakavo lingana na hiyo bajeti yangu mkuu. Kwa matumizi mbalimbali kama ku surf net,kucheck movie,kusomea material kufanyia kazi zangu binafsi , i support apps kama adobe cS6 na nyingine latest na gaming.ahsanteh mkuu