Hii laptop ndio bei yake au napigwa?

Sambusa kavu

JF-Expert Member
May 4, 2015
795
1,262
Brand : HP 15-ac032TX Notebook (M9V12PA) Rangi ya Silver
PROCESSOR : 5th Gen Intel Core i3,procesor inaishia na 'U'
RAM : 8GB RAM
HDD :1TB
Window 10 2GB graphics

Jamaa anataka nimpe 1.2Mil,nimemshusha mpaka 1M naona anakubali...Vipi hapo jamani bei ipo sawa au nimepigwa? ni brand new ameitoka nayo Dubai.

cc Chief-Mkwawa
 
Sawa ni nzuri sana hiyo sema tu ni core i3 hdd kubwa sana
Ya kwangu ni core i7 hdd 500gb ram 4gb dukani unapata kwa 1.9milioni
 
Kama ingekua i5 sawa kwa i3 iko juu kidogo. Hapo kwa 1m au laki tisa its okey

Mkuu hapo umeniacha kidogo, kwani i5 na i3 ipi ipo juu? mi ufahamu wangu unaniambia i5 ndo ipo juu,au nipo chaka?
ila shukrani kama bei ni iyo iyo around 1m au 900k
 
Sawa ni nzuri sana hiyo sema tu ni core i3 hdd kubwa sana
Ya kwangu ni core i7 hdd 500gb ram 4gb dukani unapata kwa 1.9milioni

Mkuu kwani HDD ikiwa kubwa sana halafu processor ikawa ndogo kama i3 kunakuwa na walakini? je kuna uwezekano wa kupunguza HDD? au what if kama sitajaza HDD yote itasaidia?
 
mkuu hapo mtu hawezi jua kama unapigwa ama la hadi

-taja hio aina ya i3 ni ipi mfano i3 5010u
-hio graphics ya 2gb jina lake ni lipi?

ukinijibu hapo juu na mi ndio nitajua
 
mkuu nimeicheki hapa online

processor ni i3 5010u
gpu ni Amd radeon m330

hio gpu ni dhaifu sana inapitwa na gpu za ndani za 6th generation processor za intel, na hio cpu pia ni ya kawaida.

achana na ram na hdd hizo laptop nyingi zinabadilishika .

ushauri wangu kwa hio budget unapata laptop zenye i5 6200u ambayo itakuwa nzuri kwenye graphics na cpu power compare na hio
 
Mie ninayo Asus nilinua 2013 lakin mpk sasa ni mpya na iko kwenye ubora uleule ka nilinunua jana. Mkuu kanena point
Mimi pia sina utamaduni wa kukaa na vifaa vya electronics muda mrefu lakini kwa hii asus laptop ninayo tangu 2011 lakini mpaka leo bado naipenda, cover yake
mkuu nimeicheki hapa online

processor ni i3 5010u
gpu ni Amd radeon m330

hio gpu ni dhaifu sana inapitwa na gpu za ndani za 6th generation processor za intel, na hio cpu pia ni ya kawaida.

achana na ram na hdd hizo laptop nyingi zinabadilishika .

ushauri wangu kwa hio budget unapata laptop zenye i5 6200u ambayo itakuwa nzuri kwenye graphics na cpu power compare na hio
Chief you nailed it out, mimi nimenunua asus ya i5 miaka 3 iliyopita ka 1m ambayo iko classic leo miaka 3 baadae ununue i3 kwa 1m hapana bana. Nashauri utafute brand ingine banaaaa
 
mkuu nimeicheki hapa online

processor ni i3 5010u
gpu ni Amd radeon m330

hio gpu ni dhaifu sana inapitwa na gpu za ndani za 6th generation processor za intel, na hio cpu pia ni ya kawaida.

achana na ram na hdd hizo laptop nyingi zinabadilishika .

ushauri wangu kwa hio budget unapata laptop zenye i5 6200u ambayo itakuwa nzuri kwenye graphics na cpu power compare na hio

Amd ndogo sana hasa kwa latest games and app

natafuta NVDA pro
 
inategemea ni Amd ipi ila mara nyingi Nvidia kwa laptop zinakuwa nzuri. mfano Amd R9 M390x ni very powerfull laptop gpu
Mkuu hivi kwa bajeti ya 500k hadi 600k naweza pata PC gani nzuri kwa kuzingatia hizo CPU,GPU,GRAPHIC CARD,64 bits,RAM na vyote vitakavo lingana na hiyo bajeti yangu mkuu. Kwa matumizi mbalimbali kama ku surf net,kucheck movie,kusomea material kufanyia kazi zangu binafsi , i support apps kama adobe cS6 na nyingine latest na gaming.ahsanteh mkuu
 
kwa mpya hupati ila used unapata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom