Mkuu miaka ya 2000 mpaka 2010 hio laptop yako ingekuwa kali kushinda laptop yoyote na ingeuzwa mamilioni ya hela. Ingerun bila shida app zote za 3d.Wakuu, natumia Lenovo T420 Core i5, HDD 320, Ram 4 GB. Graphic card 3000.
Je, naweza kufanya 3D animation? Kama naweza je ni app/ software gani itaweza run kwenye hii pc? Na kama siwezi je kwanini na unashauri nini nifanye ili niiwezeshe iweze kufanya 3D animation??
Na je vipi kuhusu 2D animation?
Sent using Jamii Forums mobile app
shukrani mkuu. Ungenipa na link za kudownload hizi vitu hàpa ungekuwa umenisaidia ZaidiKwa 3d Animation,
Inaweza ku run Cinema 4d, Blender na ZBrush bila tatizo. Sema kwenye rendering itakuwa slow kidogo,
Shukkrani mkuu, ila naomba kuchomekea kitu. Bluetooth haiwaki. Na sioni pa kuwashia. Je hii nayo inahitaji update??? maana kwenye graphic card ulinipa link nikadownload nikaupdate kitu kikakubali.Mkuu miaka ya 2000 mpaka 2010 hio laptop yako ingekuwa kali kushinda laptop yoyote na ingeuzwa mamilioni ya hela. Ingerun bila shida app zote za 3d.
Japo kwa sasa imepitwa na wakati ila haimaanishi haiwezi kufanya kazi,
Mfano kama unarun Adobe After effects cc ya kisasa na inakuwa slow download version ya zamani Cs3,Cs4, Cs5 etc utaona inapiga kazi bila wasi wasi.
Ongeza tu hio ram mpaka 8gb, around 30k mpaka 40k itaku cost.
Mkuu si kila computer ina bluetooth, ukiweka full model ya computer naweza kukuangalizia kama ina bluetooth.Shukkrani mkuu, ila naomba kuchomekea kitu. Bluetooth haiwaki. Na sioni pa kuwashia. Je hii nayo inahitaji update??? maana kwenye graphic card ulinipa link nikadownload nikaupdate kitu kikakubali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni Lenovo T420. Core i5Mkuu si kila computer ina bluetooth, ukiweka full model ya computer naweza kukuangalizia kama ina bluetooth.
Na hataka kama haina bluetooth, unaweza kununua adapter hata ya 5000 tu ukachomeka ikawa na uwezo huo.
Hizi hapa drivers
Shukran mkuu, nitajaribu kuicheki, nimeshawahi kusikia ila sikuifuatilia kwa sababu baso sijaanza kufanya animations seriously, nafanya for fun kwa sasa but nina malengo nayo ya mda mrefu. Binafsi, natumia blender. Hiyo subscription paid ama ni free?Duh mkuu Stephen Chelu, kajaribu kutumia render farm subscription....kama unatumia Cinema 4D Maxon, Autodesk Maya, Max. Same quality ila inatumia muda mfupi kumaliza ka dakika 20 hivi.