Infopaedia
JF-Expert Member
- Oct 28, 2011
- 1,231
- 1,495
Wadau, katika pitapita yangu kwenye mtandao wa ajira wa Brightermonday. Nilikutana na nafasi za ajira kwenye kampuni ya umeme huko South Sudan. Nikatuma maombi, juzi wameniandikia email kwamba watani-interview kwa njia ya email siku ya Ijumaa kuanzia saa nne. Sasa wadau hii kitu ipo kweli?, au kuna mtu kashawahi kukutana na kitu kama hii? Wasije wakanipotezea muda wangu halafu ukakuta ndio walewale matapeli. Ila mtandao wa Brightermonday nauamini hivyo sina uhakika kama hii issue ni ya kweli au la.