Hii kweli inawezekana?

Hii kweli inawezekana?

JEMEDARI .H.

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
341
Reaction score
63
Kuna mama mmoja niko nae karibu,kwa kifupi tunaheshimiana sana.Sasa ana mtoto wa kike alimaliza form 4 mwaka jana(2012) sasa wakat anasubir matokeo mama yake akaniambia dogo kaomba aje akae home kwangu atusaidie kaz za nyumbani kwani mimi na wife wote ni wafanyakazi so mimi nilikubali na alikuja home.Ki ukweli dogo amejaliwa na amekamilika idara zote kwa hiyo alivyofika siku ya 2 akaniomba namba yangu kwa maana penye tatizo anifahamishe,kinyume na hilo tulianza kuchat kwa sms za kawaida na had tukaanza kuongelea mapenz ikawa wife akiondoka mimi narud home naromance ila nikitaka kutingisha nyavu ananisukuma na anagoma na kuropoka hasira zikimtulia nikimhoji anasema ni mapepo na kwamba wanamsumbua kwa maana yeye ni bikra lakin siku za mwisho kabla hajaondoka maana sasa hivi kaondoka nilimkamata anatoka ndani kwa mtumish mwenzangu tena akiwa na khanga moja tu kama vile anavyokuaga na mimi sasa najiuliza ni kweli inawezekana mapepo yakamfanya hivyo maana had sasa nachat nae japo hapa home aliondoka na mimi naumia
 
Wa form3 kaishia wapi?
Kwa iyo we kazi yako ni kugawa namba ya simu na kuchat tu?
 
vip yule wa form3 umeshagegeda au bado?
 
Hatupo kwenye mashindano ya kuanzisha thread kila siku.
Grow up!!!!
 
Alikuwa anakuja katika muundo upi?

hakuna mwanaume yeyote mkamilifu asiye tahamaki aonapo mazingira haya, women keep on rolling

denti.jpg ngomo.jpg kutongozwa.jpg sina.jpg
 
Mwisho umekaribia

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
naona hapo wote mnamapepo tofaut yenu mwingine anajijua ana mapepo wewe bado hujajigundua.......useless!
 
Lol una mke bado unatafuta mpango wa kando kazi sana
 
kwani mkeo hakutoshi? kama vipi mfundishe afanye upendavyo ili utulie!
 
Kuna mama mmoja niko nae karibu,kwa kifupi tunaheshimiana sana.Sasa ana mtoto wa kike alimaliza form 4 mwaka jana(2012) sasa wakat anasubir matokeo mama yake akaniambia dogo kaomba aje akae home kwangu atusaidie kaz za nyumbani kwani mimi na wife wote ni wafanyakazi so mimi nilikubali na alikuja home.Ki ukweli dogo amejaliwa na amekamilika idara zote kwa hiyo alivyofika siku ya 2 akaniomba namba yangu kwa maana penye tatizo anifahamishe,kinyume na hilo tulianza kuchat kwa sms za kawaida na had tukaanza kuongelea mapenz ikawa wife akiondoka mimi narud home naromance ila nikitaka kutingisha nyavu ananisukuma na anagoma na kuropoka hasira zikimtulia nikimhoji anasema ni mapepo na kwamba wanamsumbua kwa maana yeye ni bikra lakin siku za mwisho kabla hajaondoka maana sasa hivi kaondoka nilimkamata anatoka ndani kwa mtumish mwenzangu tena akiwa na khanga moja tu kama vile anavyokuaga na mimi sasa najiuliza ni kweli inawezekana mapepo yakamfanya hivyo maana had sasa nachat nae japo hapa home aliondoka na mimi naumia
acha tamaa na ukue, kinachokuumiza ni nini?
 
Back
Top Bottom