Hii kitu sio sawa.

Mtemikwila

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2013
Posts
1,389
Reaction score
1,066
Naomba kuwakilisha..
Hivi hili swala la mwanaume kupiga magoti wakati wa kumvisha pete mchumba wake limetokea wapi? Nani muanzilishi wa hili swala?
Hakika nalichukia sana tena sana, mtoto wa kike ndie anashwa kupiga goti sio wa kiume shubamit...
Anyway endeleeni na dunia yenu..
 
Hayo ni maisha ya kuiga wanaigiza upendo baada ya siku mbili unawakuta kwa mjumbe wa nyumba kumi wakitafuta upatanisho
 
Upumbavu kabsaa
Mwanamke ndiyo apige magot
Kwa sababu mi ndiyo nmemuoa
 
Mkuu hii ni Kuonyesha Umempenda Mwanamke kuliko hata Wazazi wako,pia inakufanya Kumuaminisha Mwanamke ajue Unampenda Kwa Dhati kabisa kabisa na Umeamua kumdhihirishia kwa Matendo,na Lolote atakalosema Uko Tayari,
Lakini pia hii ni kwa Kizazi hiki cha Sasa,
Pia ni Mkumbo Tuu,inaweza pia Isimaanishe yote hayo!
Ahsante!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…