Sasa kwanini serikali wasiipige marufuku, mbona bado viwanda vinazalisha bana?View attachment 60321
kwanini uendelee kujiua??
sasa kwanini serikali wasiipige marufuku, mbona bado viwanda vinazalisha bana?
Tena zao hilo ndilo linalochangia bajeti ya taifa.
Kweli kabisaDah! Bora nile cha-arusha.
Naunga mkono hoja.bajeti ya serikali inategemea hapo mkuu!
Na uwezo wetu wa kufikiri ndo umefika mwisho kabisaa kutafuta vyanzo vingine vya mapato!