SectionTwenty
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 675
- 614
sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
Sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.
Na uvimbe upasuke

tupo wengi kamanda, tunayoyaona sasa ingekuwa ni zaidi kama mara tano hivi.tulipoteza jembe.sina maslahi yoyote binafsi endapo angechaguliwa kuwa rais.. Lakini kiukweli moja ya ndoto zangu za maisha ni lowassa kuwa rais wa nchi hii... Roho inaniuma sana nikifikiria walivyomdhulumu na hatimae kukosa urais. Hata magufuli afanye jambo la maana kiasi gani hili suala la lowasa kukosa urais litaniuma moyo kwa miaka mingi sana.