Quinton Canosa
JF-Expert Member
- Nov 2, 2012
- 1,228
- 1,264
na ukimaliza utanisakia demu anakula utadhani kwao hakuna chakula.....sasa kama nimeshiba nijilazimishe jamani? mi hata home nakula kidogo sana
Habari zenu wanajamii forum.Hope wazima kabisa
kuna hizi tabia hasa kwa wapenzi walio kwa mahusiano hasa hawa watoto kike japo hata wa kiume huwa wanafanya
1.Kuwa bize na simu watoto wa kie wanaongoza hasa na hizi TOUCH SCREEN kuanzia zimeingia yaani wako bize yuu bize na simu utadhani amezaliwa nayo.
2.Kuchanganya kiswahili na kiingereza jamani huu mtindio siupendi yaani mnaonekana mnaigiza kama mtu umeamua kuongea kiingereza ongea basi hicho hicho tu au kama kiswahili ongea tu kiswahili yaani dadaz wanapenda kuchanganya lugha mbili hasa wasichana wa hapa kilimanjaro ni moja ya mifano yaani kuna mdada mmoja hadi keroooooooooooooooo
3 kubakiza baadhi ya vyakula na vinywaji huu mtindo nao siupenzi utakuta mtu akiwa peke yake chumbani anaweza kunywa kreti zima la soda lakini ukitoka naye anabakiza soda robo tatu,jamani tuache maisha ya kuigiza
Mada hiyo meza ni na nyie ongezeeni mambo ambayo wanawakera kwenye relationship hata maisha ya kawaida .
sasa kama nimeshiba nijilazimishe jamani? mi hata home nakula kidogo sana
hakuana bana mtu wa kutolewa machonaona dalili ya kutoana macho
na ukimaliza utanisakia demu anakula utadhani kwao hakuna chakula.....
kiswanglish bongo hakikwepeki hasa kama umefika sekondari kwa shule zetu.....sema labda hyo mdada kazidiiisha kama unavyoweka.......we mwenyewe si unaona hapo kwenye red
MAHIPS BABY mambo ya utandawazi sometimes yanakera kwani kuchanganya ndio kunakufanya uonekane modern???mtoto wa kike shurti uwe na madoido unataka mtoto wakike awe sawa nadume mambo yakusafisha sahani tumeyachaaa hukooo miaka hiyoooo soda we maliza me ntabakiza huo ndo usichana,na swala la lugha mtuache even wenye lugha zao wanachanganya na viluga vyao how do you expect me to talk t fluent by z way inaleta mvuto sio msichana unaongea kiswahiliiiiiiiii mwanzo mwisho haivutiiiii