Hii kitu haijaingia nchini bado!

Itabidi unipe namba ya sanduku lake la posta........khaaaa......vinywaji vinaonekana vitamu hivi......

nitakuagiza hadi mtaa na namba ya nyumba.......umeona eeeehhhh hakikisha unanipatia nionje
 
Utawajua tu,lunch na moja bariiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiid
 
waacheni walevi wanywe wasahau taabu zao...Zaburi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…