Hii kitu bongo zinafanya kazi!? "Internet Streaming TV Boxes"

Hii kitu bongo zinafanya kazi!? "Internet Streaming TV Boxes"

Mwana Ilala

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2013
Posts
1,286
Reaction score
488
Hallo wana JF. Maendeleo ya Technolojia yaliyopo hivi sasa, Wataalam wanasema kuwa Still we haven't seen the Best yet" Hivyo Basi kasi ya technoljia inaendelea kukua kila kukicha hapa Dunia.

My point is, Kuna hizi vitu vinaitwa Internet TV box for streaming Contents from the Web. Wapo Competitor kama:
1. Google TV
2. Apple TV
3. Boxee Box TV
4. WD TV
5. Netgear TV Box
6. Roku TV
7. Asus TV n.k.

Vifaa hivi vinafanya kazi ya kuazima DvDs online kutoka kwa library Maarufu Duniani kama NETFlix/Amazon/Huluplus/Crackle/Vudu etc.

Pia waweza kuangalia TV Channels za bure Kama Music/Sports/Science/News and Entertainment zaid ya 700 Online Ikiwepo pia kipenzi cha Wengi "YOUTUBE"

Vifaa hivi unapovitumia lazima uwe na Router yenye speed ya kasi anzia 2Mbps.
Ningependa kujua kama kwa hapa kwetu Bongo vinafanya kazi na Internet gani bongo yenye uhakika wa kumenteini speed hiyo(2Mbps) continuously!?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Ndugu kiukweli kupata mtandao wenye spd hiyo ni ngumu ila tigo wanatoa spdi kama hiyo sema kunawakati inashuka
 
kwa tanzania 2mbps ni ngumu kidogo,lakini ukinunua kwa voda au tigo unaweza kufanikiwa kidogo
 
Back
Top Bottom