Hii kisayansi tunaiitaje

Mwehu wewe 🚮🚮🚮
 
Uko sahihi, habari za familia yake zinahusikaje hapa?
 
Mwenye picha aliibuka kupinga, sasa aliyetajwa Prof Ndashau amekana huyo sio yeye 😃😃😄View attachment 3303404
Comments ziwe fupifupi
Bado ni habari za kuambiwa "hearsay", kwa kuwa naye Dr Lwaitama anadai ameongea na Dr Michael Ndashau.

Ili kuleta sense tulipaswa tuletewe sauti au maandishi ya Dr Ndashau akikataa kuwa siyo picha yake.
 
Kwa taarifa yako Mshana Jr huyu Askofu Mwamakula ambaye umenukuu maneno yako amekuingiza CHAKA.

Dr Azaveli Lwaitama hana akaunti kwenye X, huyo Dr Lwaitama wa mtandao wa X ni mtu mwingine ambaye anajitambulisha kama Dr Hezron Lwaitama, ambaye ni bingwa wa plastic surgery

 

Kwa ukichoandika, wewe ndio inaonekana unashida na sio huyo unayejaribu kumuelezea.
 
Huu ni mwanzo wa changamoto ya afya ya akili.
 
Huu ni mwanzo wa changamoto ya afya ya akili.
Sasa huelewi nini wakati alikuwa genge la Seith Chachage. Chachage mkewe alimfungia mlango wa geti la fensi, akaruka ukuta akadondoka akafa
 
Sawa je hili linafuta ukweli wa alichoandika?
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…