Poa 2
JF-Expert Member
- Jul 7, 2019
- 1,294
- 1,288
Kama wanafikiri kumtesa mbowe alafu baadaye waje wamwachie kizembe Kama walivyofanya kwa rugemanira hii kesi haitakuwa na mwisho wa kipuuzi namna hiyoNilikuwa napitia kesi ya mzee Rugemalira aliyekaa mahabusu miaka 4 halafu akaachiwa huru.
Mikiiangalia kesi ya Freeman Mbowe hata jinsi wanavyomhandle ni dhahiri atakuja achiwa tu, sasa si vema na haki mtu akasota rumande miaka halafu ije kuonekana hana hatia.
Enzi za Nyerere palikuwepo utaratibu wa kuwaweka watu kizuizini kwa sababu za kiusalama.
Sijajua kama ule utaratibu bado upo.
Maendeleo hayana vyama!