Hii kesi unge shauri nini???

hii kauli ndo tata lakini tusijump kwenye conlusion hapa kuwa ni lazima huyu mama atakuwa anagawa tunda kwa 'wazee'. Hatujui position ya mwanamke kazini- labda yupo juu zaidi ya mwanaume na ana uwezo wa kuongea na 'mabosi wenzie' kumuwekea mambo sawa mumewe au ana pesa na uwezo wa kumuhongea mwenzie au alishawafanyia favour (sio lazima mchezo) wahusika hapo kazini na sasa wanalipa fadhila tu, anything is possible!

this could be true....
 
Kosa lilishafanyika hapo mwanzo wakati uhusiano unaanza, kama huyu madame angekuwa mkweli angemwambia mdau kabla mambo hayajanoga kwamba nina wawekezaji hapa ingekuwa nafasi nzuri kwa huyu bwana kuendelea au kuacha hayo mahusiano.

Kilichotokea ni kwamba huyu jamaa hana lawama kwa sababu hakuwa na taarifa za kutosha kuanzisha huo uhusiano.

Kwa akina dada ni vyema tukawa wakweli pale tunapoanza mahusiano kwani ukweli maumivu yake yangekuwa pungufu kama ukweli ungekuwepa at the beginning.
 
kosa lilishafanyika hapo mwanzo wakati uhusiano unaanza, kama huyu madame angekuwa mkweli angemwambia mdau kabla mambo hayajanoga kwamba nina wawekezaji hapa ingekuwa nafasi nzuri kwa huyu bwana kuendelea au kuacha hayo mahusiano.

Kilichotokea ni kwamba huyu jamaa hana lawama kwa sababu hakuwa na taarifa za kutosha kuanzisha huo uhusiano.

Kwa akina dada ni vyema tukawa wakweli pale tunapoanza mahusiano kwani ukweli maumivu yake yangekuwa pungufu kama ukweli ungekuwepa at the beginning.

ukweli mwingine ni ngumu kuelezwa...
 
Jamani ni soo,usisikie kumegewa afu ujue kuwa watu woote wanajua hivyo. unaweza ukavaa suti afu ukikutana nao tu ukajihisi umechojoa zooote mbele ya watu. hatakama alimkuta kaguswa, the moment wamejoin ikawa ukurasa mpya. asa daaaaa

katika hili nazani mimi ntakuwa na bias nikishauri manake duuuuuuuuuu!
 
married couples hv to help each other in happy and dificult times but not by sleeping with another one just to help your partner is wrong and also forbidden by every religion and in such relationship trust will no longer be there so i advise jst leave her
 
atafute mademu wa mabosi amege,
ahame kazi
aache huyo mke
akapime ukimwi
asirudie tena kugombana na mkewe

apime ukimwi,halafu akamege mademu wa mabosi?????????
Are u serious???????
 
unammwaga na kumsusia kila kitu???
Kumbuka kamegwa ili wewe ufanikiwe
so mnagawana vipi hizo mali?
Mimi naona bora na mali umuachie.
We unaonaje?
Napingana na wewe hapo nilipohighlight. Huyu Mwanamke alikuwa anamegwa hata kabla Mumewe hajapata kazi hapo kwenye hilo shirika.
Sitaki kutoa ushauri kwani no way out nitakuwa bias. Nway ndio wanawake hao bana
 
mmesahau msemo wa "behind the successful man there is a woman"
unless awe na uhakika na hayo madai
 
Thibitisha kama kweli Msusie kila kitu anza square one!! Hamna amani labda nyoka aote miguu..
 
Back
Top Bottom