Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,788
- 165,484
Mkuu umebananishwa nini ? "Kunywa maji mwanangu" halafu rudia kuandikaRaisi anapowaambia wasadizi wake kuwa wenye serikali ni yeye kama raisi na makamu wake na kwamba wao ndio walizunguka nchi nzima na pale alipoongeza kwa kuwaambia wasaidize wake waache kusumbua raia kwani kawateua tu na wengine hata hawakutarajia na kwamba hawana political responsibility na kabla hawajaamua jambo lolote wawaone yeye na makamu wake kwanza.
Hivi swali ni kuomba kuteuliwa,au kuzunguka nchi mzima au swala ni kusimamia sheria bila kujari wewe niwa kuchaguliwa au kujeuliwaIko poa huo ndio ukweli yeye aliizunguka nchi na anaijua vema. hakuna alieomba kuteuliwa kuwa mkurugenzi, mkuu wa wilaya ama mkoa
Kwahiyo kila dakika anakuwepo huko alipopita mwaka jana? na mbaya zaidi kuna alipopita na hatorudi tena mpaka ifike 2020.Iko poa huo ndio ukweli yeye aliizunguka nchi na anaijua vema. hakuna alieomba kuteuliwa kuwa mkurugenzi, mkuu wa wilaya ama mkoa
Raisi anapowaambia wasadizi wake kuwa wenye serikali ni yeye kama raisi na makamu wake na kwamba wao ndio walizunguka nchi nzima na pale alipoongeza kwa kuwaambia wasaidize wake waache kusumbua raia kwani kawateua tu na wengine hata hawakutarajia na kwamba hawana political responsibility na kabla hawajaamua jambo lolote wawaone yeye na makamu wake kwanza.
Hamna kujadili bali ni kupokea maagizo tu kuanzia makamu wake mpaka katibu mkuu..Mkuu umebananishwa nini ? "Kunywa maji mwanangu" halafu rudia kuandika
One man show mpaka kieleweke hakuna cha bunge mahakama wala watuele wake
Oh tumeipenda mwaka huu tumejipangaa
Nilichogundua leo ni kuwa wasaidizi wake hawana nafasi ya kushauri bali ni kupokea maagizo tu.Nadhani hapo watu wataamini kuwa jamaa ndio anawashauri washauri wake
Umejiuliza mbona wale vijana wa UDOM walitimuliwa bila huruma?Kuna watu wajinga sana hapa nchini...
Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia tukio moja pekee, ni hadi kuwepo na matukio zaidi ya moja ndipo inanyanyuka kukemea...
Kwa mfano, huwezi kumfukuza RPC au IGP kwa kuangalia tukio moja la ujambazi mkoani kwako au nchini, ni hadi kuwepo na utitiri wa matukio hayo ndipo uchukue hatua stahiki na mara moja..
Na ndo maana Rais aliona matukio zaidi ya wamachinga kunyanyasa yanaendelea ndo leo katoa tako la kukemea.
ha ha kwa sababu ni Mwanza Mbeya Arusha Dar es salaam hakumhusu ni mbaguzi mkabila sanaKuna watu wajinga sana hapa nchini...
Serikali haifanyi kazi kwa kuangalia tukio moja pekee, ni hadi kuwepo na matukio zaidi ya moja ndipo inanyanyuka kukemea...
Kwa mfano, huwezi kumfukuza RPC au IGP kwa kuangalia tukio moja la ujambazi mkoani kwako au nchini, ni hadi kuwepo na utitiri wa matukio hayo ndipo uchukue hatua stahiki na mara moja..
Na ndo maana Rais aliona matukio zaidi ya wamachinga kunyanyasa yanaendelea ndo leo katoa tako la kukemea.