Hii kauli naona kama inatuhusu

Hii kauli naona kama inatuhusu

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
852
Reaction score
204
Hii kauli naona kama inatuhusu sisi ukilinganisha na hali ilivyo hivi sasa hapa nchini!
DI2cLcFWAAApE4D.jpg
 
Tafsiri usiyo rasmi "PALE KUFICHUA MAOVU/UHARIFU KUNAPOENEKANA KUWA UHARIFU JUA KUWA WANAONGOZA/TUNATAWALIWA NA WAHARIFU"
Anhaa hapo sawa

Sent from my iDevice using Tapatalk
 
"Kufichua uovu kunapochukuliwa kama ni kosa basi jua unatawaliwa na waovu"
 
Mko na mkojo wa kutosha? Mbona hii kauli imekuja immediately baada ya mwenyekiti kushindwa kumtaja aliyepewa zawadi ya naniliiu ya matrilioni
 
Back
Top Bottom