Hii kampuni vp???

Good boy

Member
May 20, 2011
42
2
Hi" kuna kampuni moja ya uwekezaji ipo wilaya moja kanda ya ziwa, hii kampuni haitaki wafanyakazi wake wajiunge na chama cha wafanyakazi i mean chama cha kutetea maslahi yao, ukionekana una sapoti chama unafukuzwa kazi! Hawa wawekezaji ni wageni hapa tz, but wanapata support kubwa sana kutoka kwa wabongo wenzetu ili kufanikisha kukiua chama kabisa...! Jamani what can we do cc wafanyakazi. Nawakilisha wakubwa.
 
Kampuni moja (hili ndo jina la kampuni?!), katika wilaya moja(hii wilaya iko nchi gani). JF imevamiwa , au ndo tuseme dunia imefikia kikomo!.
 
Ndugu kuwa wazi kufichaficha kunaonekana kuwa akuna tatizo ni majungu tu,kwanza unatakiwa kujua majukumu ya Vyama vya Wafanyakazi mjiunge pili muwewazi ndipo mtasaidiwa,Kufukuzwa bila sababu chama kitasaidia,mujiamini tu. kufukuzwa katikati ya mkataba ni kosa.
Ndugu Ukweli naUwazi unajenga.
 
hapa tunawasiliana kwa uwazi tu taja jina la kampuni, wilaya na mkoa. kusema fulani, mkoa wa kanda ya ziwa ! ahhhhh hapana
 
Back
Top Bottom