Oworuganda
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 2,187
- 2,800
Jiulize nani walikuwa ma-kaa
Bado wapo?
Bado wapo?
Hahahaha ndo maana nmekuja mkuu..nmeona unaulizwaa maswali yasokua yako.[emoji2] bora umetoka mafichoni mr putin, nilikuwa nshaanza kuuziwa kesi.
Hahaha eehh Chief maana kuliko watu kubaki wakiguess nakujitaabisha bora uwaweke wazi tu.MWENYEWE KAJITAJA TAYAR MTANI
PUTIN?? KWA SABABU GANIHahaha eehh Chief maana kuliko watu kubaki wakiguess nakujitaabisha bora uwaweke wazi tu.
Ila jamaa kapewa ban ya maisha
Duuuhhh yalotokea sio ndwele,... Tugange yajayo labda ikitokea yamejilazimisha kujirudia YATAJIRUDIA [emoji109].PUTIN?? KWA SABABU GANI
DUUH POLE MKUUDuuuhhh yalotokea sio ndwele,... Tugange yajayo labda ikitokea yamejilazimisha kujirudia YATAJIRUDIA [emoji109].
Hahahaha usijali mkuu bado tupoooo sanaaa !!DUUH POLE MKUU
The worst campeni ever, wangeliwa kichwa soonClouds wana campaign nyingi huwa zinakuja kwa muda na kuondoka we unataka mpaka leo washikilie kitu kimoja
Makaa bado wapo mkuu, labda wawaatack kwa style nyingineJiulize nani walikuwa ma-kaa
Bado wapo?
[emoji2] respect mkuu.Hahahaha ndo maana nmekuja mkuu..nmeona unaulizwaa maswali yasokua yako.
Naheshim mchango wako kwa Taifa ndo maana hatujawah kukuzika [emoji23]
Pamoja sana mkuu[emoji2] respect mkuu.
hahahahahahahahMWENYEWE KAJITAJA TAYAR MTANI
Mgeni kapigwa BANMWENYEWE KAJITAJA TAYAR MTANI