Beatrice Kamugisha
JF-Expert Member
- May 18, 2019
- 762
- 6,980
Spika anatuhumiwa na Masele then Spika anapokea taarifa ambayo yeye ni mtuhumiwa na anasema maazimio yasijadiliwe na kuelekeza mjadala ufungwe haki inatendeka vipi?
Tuhuma za awali zimetoka PAP ila maamuzi yanatolewa bila kamati kuhoji huko PAP
Wanatuhumu alisafiri bila kibali, je Hadi anateuliwa kwenda pap hatukujua atasafiri nje?
Je, Waziri mkuu amehojiwa na wamejiridhisha kwamba hakupiga simu?