hamic abdallah
Senior Member
- Jul 28, 2015
- 104
- 45
Yaani kumekuwa na foleni kubwa barabara ya Mbangara kwa polisi walikuwa wanakamata pikipiki sasa imekuwa ni kero tu sasa sijui hii vita ya polisi na pikipiki itakukwisha lini kama hamtaki pikipiki basi semeni watu wasinunue