Kuna mwanaume alifumaniwa akiwa anazini na mke wa mganga ghafla nyeti za yule jamaa zikapotea yule jamaa akaenda kumuomba yule mganga msamaha alimbembelaza mganga akatozwa hadi faini mganga akakubali kumrudishia nyeti zake jamaa akaletewa ungo umejaa nyeti ili achague ya kwake jamaa akashindwa kuitambua ikabidi ampigie mkewe simu amuweke wazi ili aje amsaidie kuitambua mke alipofika akaitambua mke: yetu ni hii nyembamba nyeusi he! Na hii ni ya baba Guro yule jirani yetu wa nyuma maskini na hii fupi ni ya yule chinga wa viatu halafu hii nyeupe ni ya yule mwarabu wa sheli halafu hili likubwa ni la yule doctor uliyenipeleka kipindi kile mh! Na hizi mbili ni za wale mafundi wako wa umeme. Nani zaidi?