Chizi kaenda kwa mganga kamwambia nimerogwa naomba nitibie.
Mganga akamwambia niletee sisimizi kipofu, Samaki mwenye mimba na jogoo yatima. CHIZI akamjibu, unaonaje nikuletee na kenge hanisi na bata shoga.? Maana naona unatafuta sifa au nilete na vuzi la nyoka.? Mganga kimya..