Hii Kali…

Joined
Aug 12, 2011
Posts
7,150
Reaction score
14,730
Wanawake hawa wawili walikamatwa kwenye Super Market Moja nchini Kenya wakiwa wameficha Madumu ya Mafuta ya kupikia katikati ya Mapaja yao...

 
Sasa walikuwa wanatembeaje wakati wanatoka eneo la tukio?
 
Hahaha hayo mafuta ukitoa hapo hayana madhara kama utayapikia?
 
Ina maana hapo ni adhabu wamepewa yani wateja wote wanaoingia wawaone?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…