utafiti JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 12,783 Reaction score 7,671 Sep 2, 2013 #1 jamaa alikuwa kwenye usaili wa kuomba kazi. na mahijiano yalikua hivi boss: naomba cheti cha kuzaliwa jamaa: kwani huamini kama nimezaliwa?
jamaa alikuwa kwenye usaili wa kuomba kazi. na mahijiano yalikua hivi boss: naomba cheti cha kuzaliwa jamaa: kwani huamini kama nimezaliwa?
Munkari JF-Expert Member Joined Feb 9, 2013 Posts 8,084 Reaction score 4,363 Sep 2, 2013 #2 Hahahaha! Dah! Hiyo kali!
Y Yazoo Member Joined May 9, 2013 Posts 78 Reaction score 16 Sep 2, 2013 #3 utafiti said: jamaa alikuwa kwenye usaili wa kuomba kazi. na mahijiano yalikua hivi boss: naomba cheti cha kuzaliwa jamaa: kwani huamini kama nimezaliwa? Click to expand... alipowapa chet ikaonekana ana umri wa miaka 72 et wakamwambia siku inayofuata aende na wazaz wake wote wawil
utafiti said: jamaa alikuwa kwenye usaili wa kuomba kazi. na mahijiano yalikua hivi boss: naomba cheti cha kuzaliwa jamaa: kwani huamini kama nimezaliwa? Click to expand... alipowapa chet ikaonekana ana umri wa miaka 72 et wakamwambia siku inayofuata aende na wazaz wake wote wawil
F Flammable JF-Expert Member Joined May 1, 2013 Posts 872 Reaction score 103 Sep 2, 2013 #4 Hahahahaha,nice 2hear
T Tinambuya JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 419 Reaction score 41 Sep 3, 2013 #5 hehhheheeeheehe
N NancyM JF-Expert Member Joined Mar 2, 2013 Posts 314 Reaction score 40 Sep 3, 2013 #6 Dah nimecheka sana maan hayo majibu ya mkato Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Mashaxizo JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 6,707 Reaction score 3,355 Sep 3, 2013 #7 Yazoo said: alipowapa chet ikaonekana ana umri wa miaka 72 et wakamwambia siku inayofuata aende na wazaz wake wote wawil Click to expand... .... Afu jamaa kama masiara, kawapeleka wote + babu na bibiake!
Yazoo said: alipowapa chet ikaonekana ana umri wa miaka 72 et wakamwambia siku inayofuata aende na wazaz wake wote wawil Click to expand... .... Afu jamaa kama masiara, kawapeleka wote + babu na bibiake!
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,799 Sep 3, 2013 #8 Safi sana hii njemba lazima ilipata kazi
Mtanzanika JF-Expert Member Joined Feb 27, 2012 Posts 2,389 Reaction score 1,131 Sep 5, 2013 #9 Mashaxizo said: .... Afu jamaa kama masiara, kawapeleka wote + babu na bibiake! Click to expand... Afu Bibi yake alikua mja mzito!
Mashaxizo said: .... Afu jamaa kama masiara, kawapeleka wote + babu na bibiake! Click to expand... Afu Bibi yake alikua mja mzito!
B Blesure brayan Member Joined Sep 5, 2013 Posts 10 Reaction score 0 Sep 5, 2013 #10 Kweli lkn what 4
Zimba Senior Member Joined Jul 30, 2011 Posts 113 Reaction score 14 Sep 5, 2013 #11 Mtanzanika said: Afu Bibi yake alikua mja mzito! Click to expand... Ni noma!
Mtamile JF-Expert Member Joined Aug 2, 2011 Posts 2,838 Reaction score 1,274 Sep 5, 2013 #12 teh teh teh