Hii kali

Hii kali

MTIZED_6

Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
15
Reaction score
0
Mtoto: eti babaa kwani we na mama mnataka muanze shule?
Baba: hapana kwan vip mwanangu?
Mtoto: mbona jana usiku nilisikia unamuuliza mama "vip twende la pili"
Baba:!?speechless
 
aisee dogo utaponza nifukuzwe kazi unanisababisha nishindwe kucheka taratibu..
 
ndo tabu ya kulala na watoto, hii yote ni sababu ya nyumba za kupanga
 
Umaskini mbaya sana ati, huwezi kulala na mke wako karibu na mtoto mdogo halafu ashindwe kukuumbua mbele za watu.
 
Back
Top Bottom