ERoni JF-Expert Member Joined Jan 9, 2013 Posts 55,887 Reaction score 131,916 May 15, 2014 #21 Ibaki kama ilivyo tu, kwani nchi yetu inazuia kuoa mke zaidi ya mmoja? Tuna uhuru, ufanye unavyotaka...kutokana na imani/ uwezo wako.
Ibaki kama ilivyo tu, kwani nchi yetu inazuia kuoa mke zaidi ya mmoja? Tuna uhuru, ufanye unavyotaka...kutokana na imani/ uwezo wako.
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 May 15, 2014 #22 julius mahinya said: Swala la kuoa au kuolewa mimi naona lisiwe la kisheria libaki kama lilivyo, ili kila mmoja afanye kadri anavyotaka na kuamini! likiwa la kisheria litasababisha matatizo mengi sana. Click to expand... Unataka iendelee hii ya juu kwa juu kumalizana guest?
julius mahinya said: Swala la kuoa au kuolewa mimi naona lisiwe la kisheria libaki kama lilivyo, ili kila mmoja afanye kadri anavyotaka na kuamini! likiwa la kisheria litasababisha matatizo mengi sana. Click to expand... Unataka iendelee hii ya juu kwa juu kumalizana guest?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,915 Reaction score 55,906 May 15, 2014 #23 DEMBA said: kwani ni lini nchi hii ilizuia ndoa ya wake wengi? hao wadada ni vishoia kweli kweli... Click to expand... nawe unakijua kikwetu
DEMBA said: kwani ni lini nchi hii ilizuia ndoa ya wake wengi? hao wadada ni vishoia kweli kweli... Click to expand... nawe unakijua kikwetu
MankaM JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 9,448 Reaction score 3,073 May 15, 2014 #24 ndoa ndoa ndoa inasakamwa kwa udi aiseeeee
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,632 May 15, 2014 #25 Waje huku kwetu kuna wanaume wengi
M Mike 1234 JF-Expert Member Joined Feb 23, 2009 Posts 1,632 Reaction score 156 May 15, 2014 Thread starter #26 Wakina mama wanatakiwa wafunguke kama wenzao tujue moja!
Nilufer JF-Expert Member Joined May 10, 2012 Posts 9,863 Reaction score 14,350 May 15, 2014 #27 Mtoto halali na hela said: nawe unakijua kikwetu Click to expand... haa haa haa kumbe na wewe unatokea mkoa huo?
Mtoto halali na hela said: nawe unakijua kikwetu Click to expand... haa haa haa kumbe na wewe unatokea mkoa huo?
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 55,915 Reaction score 55,906 May 16, 2014 #28 DEMBA said: haa haa haa kumbe na wewe unatokea mkoa huo? Click to expand... yeah na ndipo niliko