Hii kali ya mwaka!

Mike 1234

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2009
Posts
1,632
Reaction score
156
Leo nimekutana na kina dada watatu maeneo ya mwenge, wanasema kenya wamepitisha sheria ya wanaume kuoa wanawake wengi mbona hapa kwetu hawapitishi? nikawauliza kwani tatizo lenu nini? wakasema hapana baba utakuta mtu umempenda mtu lakini huna uhuru naye kisa anandoa ya mke mmoja ila akipitisha kama kenya na sisi tutaambulia ndoa,sasa wadau waanze kuangalia hili swala la ndoa ya mke mmoja na kulipitia upya kuna kundi linateseka mtaani huku,
 
Nadhani hii ni tatazo kwa waumini wa dini fulani tu!

Sent from my GT-I9192 using Tapatalk
 
si dini flani tu hata hao wa upande huo unaofikiri kuna mbilimbe ya nguvu!
 
waje kwetu huku nafasi bado zipo....!
 
kwani ni lini nchi hii ilizuia ndoa ya wake wengi? hao wadada ni vishoia kweli kweli...
 
Hayo mambo ya nyumba ndogo yalivyojaa hapa kwetu ni kama sheria imeshapitishwa tayari hao wanawake walikuwa na yao mengine hawana lolote
 
Wakenya sidhani kama ni wajinga lazima kunatatizo mahali
 
Swala la kuoa au kuolewa mimi naona lisiwe la kisheria libaki kama lilivyo, ili kila mmoja afanye kadri anavyotaka na kuamini! likiwa la kisheria litasababisha matatizo mengi sana.
 
NDO mana wabongo kichwani kwangu kuoa hapana.
 
Njooni kwenye uislamu tunaruhusiwa wake wanne
 
kwani ni lini nchi hii ilizuia ndoa ya wake wengi? hao wadada ni vishoia kweli kweli...


Yaani binafsi nashangaa sana!!!!!!!

Labda mtoa mada angelifanikiwa kupata hata picha zao na kuweka hapa tungelijua kwanini wanasubibiri sheria iletwe.

Hapa tulishaanza kuwa na wanawake wengi hata kabla ya sheria; labda kama wana sura mbaya isiyotamanisha..


.......lakini wakati mwingine mmmmmh!!!!! kupenda hakuna sura!!!!!!!!!!!
 
kama tatizo ganiiiiiiiiii

Kenya kuna tatizo na ndio maana Bunge wakapitisha ile sheria.

(1) Wanawake wa Kenya wana tabia ya kuwabonda mangumi waume zao.

(2) Wanawake wa Kenya siku wakiamua wote kwa pamoja wanapitisha uamuzi kuwa "Katika nyumba zote hakuna MWanamke kukubali kumpa mume wake U-CHI, na kweli inakuwa hivyo.


SAsa kutokana na lawama hizo za uvunjaji wa haki ya Mwanaume ndio maana ikapita sheria ya kuoa tena pasipo kumshirikisha mawazo mke mkubwa.


WATAKULA JEURI YAO SASA!!!!........... UNAMTAMBULISHWA TU KUWA HUYU KUANZIA LEO NI MKE MWENZIO....... MNA-SHARE KILA KITU HUMU NDANI!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…