Hii kabla hatujazaliwa

Kumbe kulikuwa na gazeti linaitwa NGURUMO!

Shilingi ilikuwa ina thamani sana, bei senti 15!
 
Hata kama walikuwepo hawakuwa wanaiba sana kama hivi sasa bila shaka walikuwa wanajua kula na kipofu, mafisadi wa hivi sasa wanaiba mchana kweupe kiasi kwamba hata mtoto wa miaka mitano anaelewa kinachoendelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…