Hii jeuri Lowassa anaitoa wapi?

Nyie wanaume wa dizaini hii wake zenu wana tabu sana kuishi na ninyi...unaanzaje kuwa mnafiki mtoto wa kiume?tatizo hata kampeni zake hukuwa unafitilia ndo mana unasema havai gwanda...kuna siku alipiga kitu cha gwanda safi kabisa sema picha tu sina ningekuekea..mwenye nayo ampe huyu jamaa akatulizane mbele huko
 
View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?

Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?

Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mpaka hapo bado sijaelewa jeuri yake ndio ipi hapo sasa
 
Unaweza kutueleza kwanini baba wa taifa hakuwahi kuvaa nguo za ccm au nae alikuwa na maana gani
 
View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?

Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?

Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.
Inawezekana akawa na sababu binafsi, yawezekana kung'oa nanga na atasema hajawahi kuwa cdm au vinginevyo
 
Mwacheni lowasa akae mumemtukana vyakutosha hamchoki mwacheni na maisha yake nyie magamba
 
Dornald trump kila siku anavaa suti mbona hujahoji kuhusu sare za chama chake wewe nae ni jipu sijui la upande gani
 
kila cku anavaa mashati lakin watu wanaweweseka wakitaja jina lake kila wanpokutana kwa shughuli za chama chao,cku akivaa gwanda sasa c wataanza hata kumuota ucku.....
 
We we mkuuwa mikoa acha upumbavu wako mbona hayati baba wa taifa hakuwahi kuvaa magwanda ya kijani?
Tafadhali sana usimfanishe Marehemu Raisi Nyerere na huyu Fisadi na mwizi wa mashamba ya umma.
 
Hoja zingine Kama Hizi ambazo hazina faida kwa jamii.
Moderator Muwe munazifutaga.
Hata kama mtu ana haki ya kutoa mawazo yake siyo pumba na mawazo hasi kama haya.
 
We we mkuuwa mikoa acha upumbavu wako mbona hayati baba wa taifa hakuwahi kuvaa magwanda ya kijani?
Kwa hiyo Lowassa ni baba wa Chadema? Interesting.

Ndo maana kawapeleka graduation.
 
View attachment 370370
Kwanini wenzie wote wamevaa gwanda yeye kakomalia shati nyeupe?

Kwanini anajitofautisha na wenzie wote?

Ama ana maana ambayo ni ujumbe kwa wanaoelewa kwanini anafanya vile.
Naomba mnijuze wakuu.
Mungu ibariki Tanzania.

Kuvaa combat ni upenzi na hamasa ya mtu sio shuruti ili mradi anatembea katika njia nyoofu ya maadili na itikadi ya chama ila asiwe "ng'ombe aliyekatika mkia".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…