Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,289
Mleta mada anajaribu kukumbushia tu kuwa umri unakwenda, hii inaweza kusaidia kuwashtua watu na wakafanya mabadiliko. Hata wazazi wengine hawasemi, lkn hawapendi kiendelea kulea hao wababa wazima, na siku wazazi wakifa utahamia kwa mjomba?Yeye kukaa kwao na kula hela za Wazazi wake wewe unaumizwa na nini?
Waafrika tuache tabia za kimaskini za kuona anayeishi nyumbani kwao hana malengo yoyote.
Mkuu ukisema wahindi na waarabu, tayari upo nje ya mada. Watu hao hatuishi tamaduni moja.Tatizo ni kuishi nyumbani au kuendesha Maisha yako?embu nenda Kariakoo na upanga ukacheki wahindi na Waarabu wanavyoishi na watoto wao watu wazima kabisa na Maisha yanasonga.
Mkuu kuna mtu aliwahi kunieleza hii habari, wewe utakuwa wa pili.Hata humu JF wapo wengi mno. Hujifanya wajuzi, wachambuzi na wenye kasha nyingi mno.
Hii yote ni athari ya utandawazi wa teknolojia na haja ya walimwengu kuishi zaidi kwa kuridhisha waliowazunguka kuliko uhalisia wa maisha yao.
Ni mbaya kwa mtu kuwa muongo lakini ni mbaya zaidi kuamini uongo wako mwenyewe kuwa kweli. Mtu anajiaminisha kuwa ni 'star' wa kwenye mtandao kwa picha alizopiga kwenye gari ya mjomba huku akiishi sebuleni kwa shangazi kupelekea kutotaka chochote chini ya kile anachojinasibu juu yake kwa hofu ya 'mahaters' wa mtandaoni. Athari yake anachagua kazi ilhali hana uwezo wa maisha anayojifanya kumiliki.
Umenikumbusha machungu, ngoja nilie nitarudiHuwa nawahurumia sana wadada wanaotongozwa mitandaoni. Anawasiliana na jamaa huku kichwani anajenga picha ya kukutana na bonge la shefa. Siku anapokutana na huyo mtu sasa. Anatamani hata kutapika kwa hicho kituko alichokutana nacho.
CC. Mzigua90 Madame B Evelyn Salt Shunie
Hahahaaaa asantee. Nisimulie hata PM basi..Umenikumbusha machungu, ngoja nilie nitarudi
yap asantee Mzeeulitaka kumaanisha 'ENOUGH'???
Hahah argue with your keyboard Bro.pambana na hali yako.
Waache nao watapambana na hali zao.
Fainali uzeeni.
Au kuna MTU anakutegemea ndo umekuja kumsema humu.
Akakae kwae alishe Familia akiwa nje ..pia unawezekananawale wanaokaakwao ila wao ndio wanalisha familia nao tunaambiaje?
Hii ipi kote kote mkuu tena kwa wadada nadhani wamezidi, unamkuta mtu kila siku kakazana ku-post picha hata sio zake ukiziangalie mwenyewe unaona huyu malaika katokea wap sasa subirisiku ya kumuona live unaweza ukajificha chini ya mti halafu ukageuza tararibu kurudi ulikotokea!!!Huwa nawahurumia sana wadada wanaotongozwa mitandaoni. Anawasiliana na jamaa huku kichwani anajenga picha ya kukutana na bonge la shefa. Siku anapokutana na huyo mtu sasa. Anatamani hata kutapika kwa hicho kituko alichokutana nacho.
CC. Mzigua90 Madame B Evelyn Salt Shunie
Na wanavyojua kujibebisha sasa...Hii ipi kote kote mkuu tena kwa wadada nadhani wamezidi, unamkuta mtu kila siku kakazana ku-post picha hata sio zake ukiziangalie mwenyewe unaona huyu malaika katokea wap sasa subirisiku ya kumuona live unaweza ukajificha chini ya mti halafu ukageuza tararibu kurudi ulikotokea!!!
Sawa mkuu Mwenye kuona na aone.Ukweli unauma Hii Habari iko poa, mwenye masikio na asikie.