Mwambie mwanao aache mapenzi akiwa bado mwanafunzi
Stress hazitapungua kwa kuongea tu mpee papuchi uone maajabu lmao[emoji23]
Haahahaha anatumia kinga tuu😂Mnamtaftia miaka 30 kijana wa watu [emoji38][emoji38]
Mpe tuu mwenzio anaogopa kukuomba.Nina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje
Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu
Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
Haahahaha anatumia kinga tuu[emoji23]
Huu mwaka gani....? 2020, kama korona haitatuchukua 2024 utaweka tangazo la kutafuta mume humuNina mahusiano na mwanaume ambaye tupo shule moja, anaonesha kunipenda sana ila mimi nipo naye kwaajili ya kupunguza stress zangu tu ila nawaza siku akiomba mzigo sijui itskuwaje
Shule zikifungiliwa kama stress zitakuwa zimeisha nitamwacha ila saizi tunatumia masaa mengi kuongea na simu
Shida ni kwamba mimi sina hisia nae za kimapenzi kutokana na sababu mbalimbali ila ana show sana love kwangu.
Hivi kuna sehemu kasema yeye ni mwanafunzi? Kwanini msihisi ni mwalimu