Tunahukumu vibaya kwa kukosa taarifa sahihi toka upande wa shule.Kwani lazima aende right way?
Kwanza kabisa mtoto chini ya miaka kumi hawezi ku concentrate for two hours non-stop. Hiyo shule Ni ya CCM?
Walimu wa hapo hawajasoma saikolojia ya watoto kabisa.
It is a wrong school. Achana nayo
Wanaletewa watoto ili wawafundishe sasa wao wanataka watoto walio kwishafundishwa?Hiyo ni private school, hapo mbali na mtihani lakini wana muda wa kuwafanyia watoto observation especially kwenye social behaviours, kuna short break ya tea,
Kuna shule ambazo mtoto anaingia anafanya pepa faster unaondoka nae, lakini kwa rightway utaratibu wap ni tofauti na ni mzuri, nina mtoto wa causin wangu anasoma hapo
Akifaulu interview Monday utamlipia 20,00p anashinda shule kwa ajili ya total observation kama tabia zake zitakua mbovu watakwambia kwamba ondoka na mwanao, lakini kama atakua na tabia njema watakwambia ukalipe ada
Unajuaje kama mtoto mdogo ni kilaza au sio kilaza.. Mtu ubongo unakamilika kujua akifikisha miaka 10..Kumbuka kigezo cha shule nzuri ni matokeo, lazima wafanye hivyo ili wapate cream, vilaza wawapige chini.
Hawawezi kupokea mtoto ambae anakuja kuvuruga wenzie wote.Wanaletewa watoto ili wawafundishe sasa wao wanataka watoto walio kwishafundishwa?
Nilishaanza kuhukumu. Duh afadhali umefafanuaTunahukumu vibaya kwa kukosa taarifa sahihi toka upande wa shule.
Kuna mdau kafafanua hiyo shule wanapima watoto na tabia zao, hivyo katika hayo masaa mengi wanakuwa wanacheza tu huku wanamsoma character zake, kama mbaya wanamkataa hata kama mitihani ya taaluma kapa 100% yote.
Siyo kosa lako bali namna alivyoleta taarifa hii huyu mleta thread.Nilishaanza kuhukumu. Duh afadhali umefafanua
Ifungieni kama Mlivyofanya kwa ST JUDE, nyie MATAGALeo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.
Mtoto wake atakua Ni wale wanaoitwa "junior" hamna nidhamu, malezi Ni ziro sasa akiachwa acheze na wenzake kwasababu Hana good manners anagombana nao. Keep it up Rightway.Siyo kosa lako bali namna alivyoleta taarifa hii huyu mleta thread.
Inaonekana jamaa hakuelewa sababu na nini kinaendelea muda wote huo au waanajua ila kaumizwa na mwanawe kukataliwa hiyo shule, kwa hivyo kuweka hapa hivi ni kisasi dhidi ya shule.
pole ya nini, kama hataki si ampeleke mwanaye Tandale Primary scholl? kwani umelazimishwa kwenda Mbezi?
Wawapunguzie ada watoto wanaofaulu sababu wazazi wao tayari wameshafanya kazi kubwa. Siyo kuwaadhibau wazazi kwa ada kubwa.Hawawezi kupokea mtoto ambae anakuja kuvuruga wenzie wote.
Malezi huanzia nyumbani kwanza kama ana mwingi wao wanaenda kuendeleza na kuvinoa(refine and sharpen) vipaji vyake.
wapunguze vipi wakati walimu wanalipwa vizuro, shule ipo vizuri sana na wameweka ada kubwa ili wapate wenye nia ya kusomesha hapo?Wawapunguzie ada watoto wanaofaulu sababu wazazi wao tayari wameshafanya kazi kubwa. Siyo kuwaadhiba wazazi
Mpaka graduation tena ya majoho na zawadi kemkem.Aisee kumbe hadi Nursery wana interview
wapunguze vipi wakati walimu wanalipwa vizuro, shule ipo vizuri sana na wameweka ada kubwa ili wapate wenye nia ya kusomesha
Hizi shule za kisasa ukiweka ada ndogo hupati watoto.Wawapunguzie ada watoto wanaofaulu sababu wazazi wao tayari wameshafanya kazi kubwa. Siyo kuwaadhibau wazazi kwa ada kubwa.
Hao wanachukua Top layers ili ziwasaidie ku brand biashara yao
Kama mwanao hafit kqenye standard zao unataka wampokee?Wanaletewa watoto ili wawafundishe sasa wao wanataka watoto walio kwishafundishwa?
na kuna watu hizo milioni 3 kwa siku wanaingiza kwenye biashara zao, wengine ni wabunge kwa mwezi anaingiza zaidi ya milioni 13 sasa akitoa milioni 3 anabaki na milioni 10 kwa mwezi, ndio maana KILA MBUZI ALE USAWA WAKAMBA YAKE.Hizi shule za kisasa ukiweka ada ndogo hupati watoto.
Wewe unataka mama zao waweke wapi sura zao wakifika kitchen party au salon.
Wengine wanatamba kabisa " mie mwanangu anasoma englishit au Franshit international nursery academy ada milioni tatu laki Tisa."
Mwingine atatamba mwanangu anasoma St. Toiletick international educational institute ada milioni mbili kwa semester.
Nursery nako siku hizi Kuna semester.....
πππ Yaan katoto ka 1-3 kana pigwa interview jaman haya ni maajabu binafsi nayaona embu naomba nijuze interview ya watoto wa umri huo una husisha nini hasa ?Leo ni siku ya interview hapa Rightway Nursery and Primary school, Mbezi .
Haiwezekani mtoto wa lower primary school(std 1-3) afanye mtihani kuanzia saa 2 Asbh mpk saa 7 mchana . Mtoto anatahiniwa masomo 4 .Wakati zamani kwenda form one unatahiniwa masomo 2 tu, Hesabu na Kiingereza.
Naomba wizara ya Elimu ifatilie hili Jambo. Yaonekana hIzi english medium schools haziratibiwi ipasavyo.
Shule nzuri inapika wanafunzi yenyewe sio kudandia tu watoto vichwa alafu wajewajichukulie sifa na utukufu waoKumbuka kigezo cha shule nzuri ni matokeo, lazima wafanye hivyo ili wapate cream, vilaza wawapige chini.