Ina maana hakukuwa na jopo la wasaili bali ndugu yake pekee ndiye aliyekuwepo na kumuuliza maswali hayo?
Mtoa mada, hivi umesoma vizuri kweli kwenye hiyo orodha ya majukwaa na kujua hili jukwaa gani!??

Anakuambia alikuwepo mtendaji mkuu na wakuu wachache wa idara.Alipoingia ndani ya chumba alikuta wote interviewer wote walikua na sauti moja kwa maana kua walishawaandaa watu wao.
Mtoa mada, hivi umesoma vizuri kweli kwenye hiyo orodha ya majukwaa na kujua hili jukwaa gani!??
hahahaa inawezekana mm nlienda interview mtu hata hajui anafanya interview ya nn.kaja anauliza kwan ni position gani?hata vyet na barua hakutuma.copy ya vyet imetolrwa hapo hapo barua imeandikwa hapohapo.kila kitu kasaidiwa na mmoja wa wasaili na wasaili walikuwa watano.mwngne kaja saa nane mchana wengne tuliambiwa interview itaanza saa mbili asubuh tukakaa had usiku.hao wawili hapo nimewafuatilia tayar wapo kazin yaan wamrajiliwa.
mimi uliposimulia tu nimeaminSasa ndicho nilichosimuliwa kinafanana hiki,Kuna watu hawaami mambo kama haya na pengine hayajawahi kuwakuta!Ndio wanaolia kila siku kwa mambo ya undugu kazini, matokeo yake unalalamika tu na kuzunguka na vyeti vyako kutwa nzima bila mafanikio.Sisi tulikwishaona na tunawaambia mnapoapply mjue kuna haya.