Hii inawezekana??

Hii inawezekana??

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,213
Reaction score
18,471
Hivi ni kweli mtu akisema maneno makali pindi anapokuwa na hasira ni kweli anamaanisha kile anachokisema au ni hasira tu??
 
Mtu akikwambia kwa hasira ujue ana maanisha,hasira huonyesha mtazamo wa mtu juu yako,yaani hukuonyesha picha mbili,unayoijua na usioijua kuhusu yeye na anavyokufikiri ktk mitazamo 2.so maneno ya hasira yanapotoka hata kama akijilaumu anajilaumu kwanini amekuambia ktk hali ya hasira,au kwanini umeyajua....so take care yale maneno ya hasira yatafakari ktk macho 3.ili ujue wanaokupenda wanakuambiaga mazuri tu,wasio kupenda wanakuambia mabaya,so ukiambiwa kwa hasira dadisi ni kwanini umetamkiwa,na je kuna ukweli ndani yake?jibu utakuwa nalo.....
 
Anamaanisha kwa namna moja au nyingine ndio maana akasema inawezekana akajutia baadae aloyasema lakini itakuonesha yeye ni mtu wa aina gani!mtu akiwa katika hali ya kawaida ana uwezo wa kuchuja maneno atakayoyasema lakini akiwa na hasira anasema linalomjia akilini...Lakini lazima uwe makini kwasababu lisemwalo lipo na kama halipo lipo njiani!
 
Mtu akikwambia kwa hasira ujue ana maanisha,hasira huonyesha mtazamo wa mtu juu yako,yaani hukuonyesha picha mbili,unayoijua na usioijua kuhusu yeye na anavyokufikiri ktk mitazamo 2.so maneno ya hasira yanapotoka hata kama akijilaumu anajilaumu kwanini amekuambia ktk hali ya hasira,au kwanini umeyajua....so take care yale maneno ya hasira yatafakari ktk macho 3.ili ujue wanaokupenda wanakuambiaga mazuri tu,wasio kupenda wanakuambia mabaya,so ukiambiwa kwa hasira dadisi ni kwanini umetamkiwa,na je kuna ukweli ndani yake?jibu utakuwa nalo.....

Kumbe mtu akikwambia mazuri tu ndo anakupenda? Mie nilikua sijui!!!!!!
 
Back
Top Bottom