Hili darasa liliisha, au wewe ulikatisha masomo njiani?Niliwahi kuhudhuria dalasa moja nikastajabu sana huyoo mwalimu alitufundisha ety kuna sujuii nabii au mtume kiongozi wa din aliwahi kupanda farasi sijui punda ...
Niliona ujinga nikasepa mtaan kutafuta pesa mtuu anapaaajee na punda kakahili darasa liliisha, au wewe ulikatisha masomo njiani?
nadhan ungefuatilia darasa mpka mwisho ungekuja kusimulia katika ukamilifu zaidi gentleman,
hata hivyo,
akili za kuambiwa ni sharti uchanganye na zako, ili kuepuka wa akina Kibwetere na Makenzi wa humu mjini wasikurestishe in peace kwa njaa🐒
Illusion.Aseee nakubaliana na wew yaaan huyoo punda anaspidi gani ufike mbinguni
Niliwahi kuhudhuria dalasa moja nikastajabu sana huyoo mwalimu alitufundisha ety kuna sujuii nabii au mtume kiongozi wa din aliwahi kupanda farasi sijui punda akaenda mbinguni afuu sasa kufika huko akakutana na manabiii wa kale wakina musa yusuph na wengineo ila hakukutan na mtu mweusi wa kale hata mmoja tuache hicho sasa mm nikaondoka na maswali mpaka leo cna jibu wakina musa na mitume wote walizikwa sasa huyoo kiongozi huko mbinguni alikutana nao kwa namna gani kama mizimu au ni vip wenye elimu na hii wajee na yeye alipaaje hadi uko mbinguni alikuwa mfu mzima asanten kumbukeni mm sina dini yoyote naamini mizimu ya uziguani kwa babu zangu
Sasa mdau, hayo ni mambo katika ulimwengu wa roho, hujawahi kusikia wahubiri wanakuambia ulimwengu wa roho, katika huo ulimwengu mtu anaweza kusafiri hapa na US ndani ya sekunde... Ni sawa na masuala ya astral projection...Yule jamaa alipandwa na mapepo akiwa mapangoni kwenye kuchunga mbuzi wa mke wake .
Hata huo Utume alipewa na mke wake na mjomba wake
Kisa cha Samson kimelenga miaka zaidi ya 350 BCE pale Hebron palikua na misitu na mapori yenye wanyama kabla ya mabadiliko ya kimazingira yaliyopelekea ukame na semi AridUle uongo Samson aliua simba mimi ndipo huwa sielewi, hivi Israel ilivyo jangwa hao simba walikuwa wanafugwa? Simba anaishi vipi middle east kwenye nchi za jangwa?
Halafu baada ya kumuua baadae anapita kwenye huo mzoga wa simba akakuta asali, eti akaanza kulamba🤣
Huwa nachoka...
Mwamuzi unazinguwaYule jamaa alipandwa na mapepo akiwa mapangoni kwenye kuchunga mbuzi wa mke wake .
Hata huo Utume alipewa na mke wake na mjomba wake
Sasa huyoo kiongozi Alienda kama jini au mchawiSasa mdau, hayo ni mambo katika ulimwengu wa roho, hujawahi kusikia wahubiri wanakuambia ulimwengu wa roho, katika huo ulimwengu mtu anaweza kusafiri hapa na US ndani ya sekunde... Ni sawa na masuala ya astral projection...
Masuala ya imani yapo complex, majini ni roho, malaika ni roho, ndio maana jini hulioni...
Nahisi hata wachawi wanatumia hayo masuala ya ulimwengu mwingine...