kudra hamidu
Senior Member
- Jul 1, 2012
- 152
- 110
WamezidiWatajua wenyewe
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?Hueleweki aisee,sijui kithungu ndo shida?Sasa hapo nini cha ajabu,au ni jina 'fighting',umeichukulia kwa kiswahili kama kupigana makonde nini?Vita vya kisiasi na kisheria hivyo,usijiabishe bure tu!
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?
Hehehe!! Nimekuelewa, kumbe tatizo lipo kwenye tarehe, ungewatonya wadau kwamba tuangalie tarehe, maana wengi tumeishia kusoma maneno ya taarifa.
Hilo hapo kosa la uchapishaji na naona kuna mtu atapoteza ajira. Makosa kama hayo hutendeka dunia yote, sasa ikitendeka Kenya huwa mnapata raha utadhani mnajipiga nyeto.
Huko Kenya nasikia kila mkoa na gazeti lake.Hehehe!! Nimekuelewa, kumbe tatizo lipo kwenye tarehe, ungewatonya wadau kwamba tuangalie tarehe, maana wengi tumeishia kusoma maneno ya taarifa.
Hilo hapo kosa la uchapishaji na naona kuna mtu atapoteza ajira. Makosa kama hayo hutendeka dunia yote, sasa ikitendeka Kenya huwa mnapata raha utadhani mnajipiga nyeto.
Wala sio bahati mbaya asikudanganye huyo bwana MK254.Huko Kenya nasikia kila mkoa na gazeti lake.
Wala sio bahati mbaya asikudanganye huyo bwana MK254.
Kenya kila kabila linachapishiwa headlines zake.....si unajua tena NMG nao wanatafuta kuuza!
Hata gazeti lao la The East African ukiangalia la TZ headlines tofauti na la KE au UG.
Ukabila utawamaliza hawa jirani zetu!
Business lakini huoni unawagawa wananchi?Then uchaguz ukifika mnalia eti 'Kenya ni moja'It is business, it is true they are different but just for business... news resonates with people differently... people want to buy stuff that seem relevant to them.
At least si gossip imejaa kwa top cover.
Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?
Newspapers have different editions for different regions. You can also have more than one edition in a day if there is some breaking news. Only the front cover changes the rest is the same. It is just like Tz newspapers giving prominence to Tanzanian issues and Kenya, Uganda, Rwanda, and Burundi giving prominence to issues of interest to their readers.Gazeti moja,tarehe moja lakini habari tofauti!!
Sijui sababu ni nini?Ukabila?ukanda?mlengo wa kisiasa?
Mungu ibariki Tanzania
ODM kwishne!!! tribalism is killing ODM, Luhyas are treated as secondary in ODM! Pili Raila anataka kuwa kama Maalim Seif wa Zenj yaani kinganganizi cha kuukwa urais 2017,possibly even in 2022 atangangania tu.Watajua wenyewe
Wewe ndo mvivu,unashindwa kujieleza kikamilifu kwanini?Hata hekaya za Abunuasi zinaeleweka virahisi sana kuliko habari yako!Mada ya hoja yako ni nini kwasababu nimeona unasema eti kila mkoa Kenya na gazeti lake?Upo 'serious' kweli au ni vioja tu?'Printing' ya Daily Nation na Sunday Nation zote zinafanywa Mombasa Road,NRB afu ndo wanazisambaza nchi nzima.Hizo 'copy' tofauti za gazeti ya siku moja zote zinapatikana kokote kule nchini Kenya!Huo ndo ueledi wa uanahabari wa Kenya.Hujaskia kuhusu 'Special Edition','Evening Edition' na 'Early Edition' kwenye magazeti?Gazeti zinachapishwa kulingana na habari zinavochepuka.Ama umezoea magazeti ya bongo yanayoandika habari za kina Wema Sepetu na dayamondi wiki nzima?Usiwe mvivu kusoma.Hayo magazet ya kampuni moja na yanatoka siku moja haujilizi kwa nn ni tofauti?