Kuna ile imani kuwa mkijikuta mnapiga miayo kwa wakati mmoja
inaashiria kuwa mnawaza kitu kimoja. Sasa jamaa mmoja alimuona
mke wake akipiga mwayo, wakati huohuo akamuona mtu mwanamume
dirishani akipita nje ya nyumba yao akimalizia kufunga mdomo baada ya
kupiga mwayo.
Umenikumbusha scientific documentary moja,waliconclude hii ki2 inaambukizwa,na wakaprove kwamba kama umeangalia kipindi hicho utakua umepiga mihayo sana 2,nna uhakika waliosoma hii post wengi wamepiga,nikiwemo!