Habari wakuu....
Kesho 09/12/2018 tunaadhimisha miaka 57 ya Uhuru wa Tanganyika yetu pendwa...
Kuna video inamwonesha Mh. Rais JPM...akisisitiza kua tar9 ni siku ya mapumziko....isitoshe siku yenyewe ni jumapili(kesho).
Binafsi nimeshangazwa na ule msisitizo wa Mapumziko kwa Siku ya kesho....
Kwakua kesho ni jumapili je ni nani anayeambiwa apumzike?
Fire?
Polisi?
Doctor?
Mkulima?
Bodaboda?
Karibu